Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,467
- 222,731
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa.
Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji Msigwa na Patrick Ole Sosopi kuua CCM Iringa yote, Safari hii ameahidi kumstaafisha siasa William Lukuvi, Rushwa ya Ulanzi, Viberiti na Chumvi haitapata nafasi msimu huu
Taarifa zaidi zinakuja