Mdutch
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 214
- 77
Umejisahau wewe vichaa wanaunda umoja wao unoitwa (UVCCM) Umoja wa Vichaa wa Chama cha Mapinduzi wenye makao yao pale Lumumba na kule Dodoma. Sawa sawa!hilo baraza la vichaa halina maana yoyote
Umejisahau wewe vichaa wanaunda umoja wao unoitwa (UVCCM) Umoja wa Vichaa wa Chama cha Mapinduzi wenye makao yao pale Lumumba na kule Dodoma. Sawa sawa!hilo baraza la vichaa halina maana yoyote
Umejisahau wewe vichaa wanaunda umoja wao unoitwa (UVCCM) Umoja wa Vichaa wa Chama cha Mapinduzi wenye makao yao pale Lumumba na kule Dodoma. Sawa sawa!
wa kuomba radhi ni mgonjwa wa akili tundu lisu kwa kumtukana nyerere..bavicha ni misukule hawajielewi
Hebu weka vizuri, hivi wanaunda au wanaundiwa? I think the latter is true. Tumesikia jinsi wakubwa wamekuwa wakiingilia michakato kwenye huu umoja wakimtoa wasiyemtaka na kumweka wamtakaye kwa vijisababu vya ajabu ajabu mara umri mara zamu ya visiwani alimradi watimize haja zao. Hivi mtu asiyejua hata umri wake si kichaa huyo?
Halafu baba yako unamweka wapi?Kwenye nyekundu, Nakubaliana na wewe kabisaaaa.
Kichaa namba moja aniatwa Sadifa.
Wehu wengi wako bavicha na bawacha.Umejisahau wewe vichaa wanaunda umoja wao unoitwa (UVCCM) Umoja wa Vichaa wa Chama cha Mapinduzi wenye makao yao pale Lumumba na kule Dodoma. Sawa sawa!
Bavicha ina hitaji uongozi mpya
Nenda kamjibu Lukuvi msikitini. CCM na Lukuvi hawataki kuona Waislamu wakiimarika.wa kuomba radhi ni mgonjwa wa akili tundu lisu kwa kumtukana nyerere..bavicha ni misukule hawajielewi
Bavicha ina hitaji uongozi mpya
Hivi nani atamjibu LUKUVI ubaguzi wa dini? Anaiogopa JAMHURI YA KIISLAMU - Zanzibar!Wehu wengi wako bavicha na bawacha.
Kiboko, unapojaribu kumfanyia mwenzio ndivyo sivyo, naye hutafuta namna ya ku revenge. Hebu angalia sasa umejibiwa sawa sawa na kashfa zako. Mimi huwa najiuliza mbona matusi, kashfa, mipasho, na ubaguzi vinaonekana kutokea sana upande fulani? Halafu watu wazima na akili zao wanachekelea kana kwamba ni mambo mazuri. Hii haitupeleki kwenye mustakabali mzuri wa nchi yetu hata kidogo.
Nenda kamjibu Lukuvi msikitini. CCM na Lukuvi hawataki kuona Waislamu wakiimarika.
Kojoa ukalale ww naona watokwa povu mdomon tu
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Nani kakuambia BAVICHA ni msikiti?bavicha hakuna kiongozi muislam hata mmoja