Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.
Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.
Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.
Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.
Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.
Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.
Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.
Mkuu usihangaike na maneno ya uswazi,ukimbana akupe ushaidi atakwambia ni hearsay kutoka vijiwe vya kahawa!!Kazi kweli kweli. Gazeti gani hilo ulilolisoma?
Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!
Kwa story zako unafaa sana kuwa mwinjilisti hivi nikuulize huyo diwani wa Chadema wa mjini Igunga alipatikanaje tena bila nguvu za kitaifa kama zitakazoelekezwa sasa.Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.
Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.
Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.
Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.
Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.
Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.
Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.
mtu mwenye akili anaongea au kuandika vitu alivyo na uhakika navyo ukiona mtu anaropoka kitu asichokijua unapaswa kuhoji uelewa wake na uwezo wa akili yake pia.Nimesoma gazeti moja leo, wanasema ujumbe wa CDM umekutana na hali ngumu Igunga. Pia wana Igunga wanamsubiri kwa hamu Slaa aende Igunga. Apeleke ushahidi wa ufisadi wa mbunge wao au aende akawaombe radhi..zaidi ya hapo Chadema hawana chao Igunga!
Wanachadema ni vyema CDM wakainvest kwenye tafiti na kujua tabia za wananchi kwenye majimbo husika kwa kuwa utamaduni na tabia zetu kimakabila pia zinaathiri maamuzi yetu na utendaji wetu.
Kwa tabia ninavyowajua wanyamwezi na wasukuma ni watu walio watiifu kitabia kwa wenye mamlaka [Royal],Msukuma au mnyamwezi ni mwoga kwa mwenye mamlaka hata wakati mwingine utaniwa kuwa unaweza kumkuta kituo cha polisi selo,kashikilia nondo za sero ukamuuuliza vipi tegemea jibu kama "NDO SHIDA" yaani kwa kiswahili HAKUNA TATIZO.Sasa kama hakuna tatizo sero unafanya nini?Huyo ndio Msukuma na Mnyamwezi ambao kitabia wanashabiana sana.
Hivyo kwa jimbo la IGUNGA ushauri wangu kwa CHADEMA waende wakajifunze tabia za jamaa hao na uenda siku za mbele wakajua jinsi ya kudeal nao.
Waliipo lia juu ya jamaa yao Rostam ni kweli,kwa kuwa wao huwa si watu wa kujua kitu kwa undani ndio maana ni moja ya makabila yaliyongoza miaka ya nyuma enzi za ukoloni kukubali kuwakaribisha wageni na kuwapa Ardhi na mabinti zao.
Ukitembele mikoa ya uko ni lahisi na si ajabu kusikia baadhi ya majina kama MASKATI FISI,yaani ni sehemu ya jina la mji mmoja uko uarabuni lakini ndani ya Tanzania.
Hivyo CHADEMA kajifunzeni jinsi ya kuwabadilisha wenyeji hao,kwa kuwa kikabila wanautamaduni wao ambao ni mzuri kwa watawala lakini ukiwaponza wao kama Watanzania wenye kuitaji maendeleo.Moja ya mapungufu yao ni kupenda kutawaliwa na wageni.Mikoa hiyo ukiitazama sana wawakilishi wake wengi wa bungeni wana asili ya mchanganyiko.
Hivyo wajue dhahiri jimbo la IGUNGA bado ni mali ya CCM japo kidogo sana CUF wanaweza kuthubutu nao kama watamtumia mtu mwenye asili ya mchanganyiko kwa kuwa ndio moja ya mapungufu [kilema] ya watu wa huko.ILA SIO MBAYA waende wakajaribu kwa kuwa something is better than nothing na hivyo pia watachangia kuwaamsha kizazi kipya kuwa na mwamko japo itachukua muda tofauti na mikoa mingine ambayo watu wenye asili ya mchanganyiko hawako.
TAZAMA ndio gazeti gani hilo jamani hebu tujikumbushe ziara ya TIMU NZIMA YA CDM Kwenye mikutano ya mwisho kanda ya ziwa na kati kabla kuanza bunge ilikuwaje acheni uzushi huo na magazeti yenu ya mtandao.Gazeti lenyewe ni TAZAMA la leo 2/8/2011. jaribu kulipata ulisome mimi nimelisoma leo kwa mara ya kwanza.
Kwa story zako unafaa sana kuwa mwinjilisti hivi nikuulize huyo diwani wa Chadema wa mjini Igunga alipatikanaje tena bila nguvu za kitaifa kama zitakazoelekezwa sasa.
Asante TUKUTUKUUmedanganya umma wa JF,inavyoonekana wewe huijui vizuri tabora na wale hujui vizuri mila na desturi za wasukuma na wanyamwezi,mimi napinga hoja zako kama ifuatavyo:
Kwanza:Tabora mjini ina majimbo tisa,majimbo matatu yana wabunge wenye asili ya kigeni[Tabora mjini-Adeni Rage,Tabora kaskazini-Mamlo sumar,Igunga-Rostam Aziz(ambaye amejiuzuru)].Mjimbo yaliyobaki yaani[Igalula-Athumani Mfutakamba,Nzega-Hamisi Kingwangalla,Bukene-Zedi Selemani,Urambo Mashariki-Samwel Sitta,Urambo Magharib-Prof Juma Kapuya,Sikonge-Juma Nkumba ] hawa wote ni watanzania asilia.Ukifanya mchanganua uatagundua asilimia 67% ya wabunge wa Tabora ni watanzania asilia.Hivyo si sahii kabisa kusema wabunge wengi wa tabora ni wageni au kusema wanyamwezi wanapenda sana kutawaliwa na wageni.
Pili:swala la kusema wanyamwezi na wasukuma ni watiifu sana kwa watawala,je unafahamu kuwa 1995 wanyamwezi wa urambo mashariki walimchagua Dr Jacob Msina(NCCR-Mageuzi) kuwa mbunge?Je unafahamu mkoa wa Shinyanga ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matano yanatawaliwa na upinzani yani UDP(1) na CHADEMA(4),je unafahamu mkoa wa mwanza ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matatu ambayo yalichukuliwa na Chadema,je umesoma vizuri Historia ya Mtemi Mirambo alivyopambana na wakoloni?Je unafahamu ile sheria ya kuweka watu kizuizini ilitumika kwa mara ya kwa wapi,unaijua Historia ya Kasanga Tumbo ambaye J.K.Nyerere alimuweka kizuizini?sasa utiifu wa wanyamwezi na wasukuma kwa watawala upo wapi?
Hitimisho:Mimi nadhani Chadema au CUF wananafasi kubwa sana ya kuibuka kidedea Igunga kama watajipanga vizuri,kinachotakiwa ni kujenga hoja za msingi na wananchi wataelewa tu!!!
Umedanganya umma wa JF,inavyoonekana wewe huijui vizuri tabora na wale hujui vizuri mila na desturi za wasukuma na wanyamwezi,mimi napinga hoja zako kama ifuatavyo:
Kwanza:Tabora mjini ina majimbo tisa,majimbo matatu yana wabunge wenye asili ya kigeni[Tabora mjini-Adeni Rage,Tabora kaskazini-Mamlo sumar,Igunga-Rostam Aziz(ambaye amejiuzuru)].Mjimbo yaliyobaki yaani[Igalula-Athumani Mfutakamba,Nzega-Hamisi Kingwangalla,Bukene-Zedi Selemani,Urambo Mashariki-Samwel Sitta,Urambo Magharib-Prof Juma Kapuya,Sikonge-Juma Nkumba ] hawa wote ni watanzania asilia.Ukifanya mchanganua uatagundua asilimia 67% ya wabunge wa Tabora ni watanzania asilia.Hivyo si sahii kabisa kusema wabunge wengi wa tabora ni wageni au kusema wanyamwezi wanapenda sana kutawaliwa na wageni.
Pili:swala la kusema wanyamwezi na wasukuma ni watiifu sana kwa watawala,je unafahamu kuwa 1995 wanyamwezi wa urambo mashariki walimchagua Dr Jacob Msina(NCCR-Mageuzi) kuwa mbunge?Je unafahamu mkoa wa Shinyanga ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matano yanatawaliwa na upinzani yani UDP(1) na CHADEMA(4),je unafahamu mkoa wa mwanza ambao wenyeji wake ni wasukuma kuna majimbo matatu ambayo yalichukuliwa na Chadema,je umesoma vizuri Historia ya Mtemi Mirambo alivyopambana na wakoloni?Je unafahamu ile sheria ya kuweka watu kizuizini ilitumika kwa mara ya kwa wapi,unaijua Historia ya Kasanga Tumbo ambaye J.K.Nyerere alimuweka kizuizini?sasa utiifu wa wanyamwezi na wasukuma kwa watawala upo wapi?
Hitimisho:Mimi nadhani Chadema au CUF wananafasi kubwa sana ya kuibuka kidedea Igunga kama watajipanga vizuri,kinachotakiwa ni kujenga hoja za msingi na wananchi wataelewa tu!!!
Asante TUKUTUKU
Unajua CCM na wafuasi wake akiwemo huyo DSN wako so desperate wanaokota chochote wanachofikiri kitawasaidia, mtu anakuja na story za kubuni kudanganya watu wazima eti wasukuma wakisema "NDO SHIDA" kwa kiswahili HAKUNA TATIZO--- 'NDO SHIDA' hicho ni kisukuma gani upuuzi mtupu. Wanachotakiwa CCM wajipange vizuri lakini wakitegemea siasa uchwara kama hizi watakuwa wanajidanganya na si ajabu kwenye uchaguzi huu wakaangukia pua.
Wewe huwajui wasukuma na hujui mila za wasukuma na wanyamwezi unafanya kuambiwa tu YAYA NDO ndio kitu gani hakuna kitu kama hicho, hayo yote uliyoandika unajiridhisha tu na CCM wakiyatumia wataumia, msukuma ukishamuudhi kumbadilisha inakuwa kazi akishasema 'Nalemaga getegete' basi ndiyo imetoka,Kulingana na picha hiyo hapo juu,utajua ni kwanini nasema IGUNGA bado ni jimbo la CCM asilimia Mia 100%.Kwa kuwa ni uamuzi wa Rostam kuwaambia tu mpeni fulani wao watampitisha.Zitapungua kura kiasi kidogo sana kama Rostam hatashiriki kupiga kampeni,Ila bado CCM watashinda japo si kwa kishindo.Lakini kukiwa na ushiriki wake kutakuwa na ushindi wa kishindo.Chadema waende huko lengo kuu likiwa ni kwenda kutumia nafasi hiyo kuleta mwamko kwa jamii hiyo.Waangalie zaidi faida za itikadi ya kisiasa [Political Ideology Mileage] ili wajiandae wasivunjike moyo kwa kuwa hiyo sio ngome yao, na Ngome ya CDM ni ya watu walio na uthubutu [Aggressive].Hivyo si vibaya kwenda na dhamila ya uthubutu kwa nia ya kueleimisha na kuibua chemchem za mawazo mapya na kuwasidia kizazi kipya cha mazingira hayo kufunguka kisiasa na kiutawala.
mnamuuliza heche mnakosea, jamaa enu aliondoka zamani tu hapo igunga jana nimemuona mitaa ya mlimani city akinywa konyagi, nasikia alitaka awe msemaji mkuu kwenye mikutano ya igunga, akina benson na tumbo na waitara wakambania akapewa nafasi ya pili kuongea hahaa jamaa akachukia na kudanganya eti anaenda kuitisha press kwa mambo ya issue nyingine, lakini kwa nini cdm mnagombania umaarufu na mnabaniana hivyo? siku moja jamaa aliniambia kuwa yeye hana mshahara kwa hiyo ni lazima cdm imuone na ikubali ziara alizozipanga ili apate nafuu ya life. ..lakini kamati kuu ikapiga chini mipango yake hiyo ya kutaka kulamba miposho hahahaa eti bajeti yake ilikua million 30 kwa mikoa 8 hahaaa! cdm bwana!!
Wewe endelea kujenga hoja usianze kulazimisha hoja, tunazungumzia mada yako ya historia ya wasukuma na wanyamwezi ambayo naona huijui, na kama unafikiri mwamko wa wasukuma ni mdogo rejea uchaguzi uliopita ndio utajua msukuma ni mtu wa aina gani ni mkimya lakini akisema NO ni NO kweli kweli hata wewe umekiri CCM walivyoshindwa kumtoa Cheyo.Mie sio MwanaCCM please!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nachokijua ndicho ninachokisema whether you dont like it or no.Pole naona unanichekesha bahada ya kuwasaidia CHADEMA WAJUE SILAHA gani wanaingia nazo vitani kusaka sungura mnawapotosha kuwa sungura yupo ni wa kukamata na kuludi nae home.Thubutu kama chadema wanakumbuka uchaguzi wa KWIMBA please hao ndio Wasukuma.
Chadema kama wanajipenda nikutumia muda huu wa kipindi cha uchaguzi mdogo kuleta mwamko wa kisiasa na kuondoa wingu la upofu.