BAVICHA haturudi nyuma- Sosopi

Nawapongeza sana kwa BAVICHA kwa msimamo wao hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele daima.

Hakuna haki inayopatikana bila kupambana
Si juzi walisema wana mtii Mbowe hata kama hawakubaliani nae?
 
Anachezea maisha yake huyu kijana,wazaz wake wamshauri bado mchanga sana kwenye game ya kushindana na serikali,anyway hakuna demokrasia iliyobanwa ingekuwa hivyo basi asingekuwa anapata nafasi ya kuropoka kila uchwao
 
Heshima yako sana mkuu nimefurahi sana kuona tupo pamoja tena humu JF
Demokrasi ni moja tu hakuna aina tofauti za demokrasi, acha kupotosha maana ya demokrasi. Kwenye nchi yoyote ama kuna demokrasi au hakuna.
 
Reactions: BAK
Huo ushauri kawape wanachama wenzako wa Uvccm
 

Soso ndo yule jamaa mwenye meno 17.5
 
Nashukuru mbowe kuzuiya bavicha kutokwenda dodoma naamini kimya kingi kina mshindo mkubwa tuwaache awa uvccm wapige kelele kwa mda mfupi watanyamaza milele
 
Siasa zimekua ngumu siku hizi JPM kaliona mapema kiwa waacha wazee wa waliomia upinzani wata muhumiza kisiasa kwani unaonekana wanataka wachukue wajumbe wa nyumba kumi kumi
 
KELELE ZA NINII NJOONI 23,JUL MKUTANO WA CCM TUONE HIZI KELELE KAMA ZITAKUWEPO M SIPENDI SIASA ZA KINAFIKI
 
Huo ushauri kawape wanachama wenzako wa Uvccm
Unashabikia usichokijua kwa kudanganyana ... mnawachelewesha vijana kutafuta maendeleo. Njooni tu dodoma,mtafurahi na mtarudi na demokrasia yenu mkononi!!!
 
BAVICHA ongozeni vijana wenu kudai katiba mpya yenye maslahi hasa ile ya Rasimu ya Mzee Warioba
Haya sijui haturudi nyuma bila specific goal(s) ni u p u u z i tu
Hamna dira wala mwelekeo na tamko lenu ni la hovyo hovyo tu

Sosopi bado mnakwenda Dodoma kuzuia CCM wasifanye mkutano wao?
 
Unashabikia usichokijua kwa kudanganyana ... mnawachelewesha vijana kutafuta maendeleo. Njooni tu dodoma,mtafurahi na mtarudi na demokrasia yenu mkononi!!!
Ntakuwepo dodoma kuanzia kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…