BAVICHA Busanda waendelea kuisambalatisha CCM

BAVICHA Busanda waendelea kuisambalatisha CCM

Chief Lugina

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
286
Reaction score
77
Katika kile kinachoonekana ni harakati ya kukitokomeza CCM jimbo la BUSANDA. BAVICHA-Busanda wamekuwa na program ya kutembea jimbo zima na leo ilikuwa ni zamu ya Kata ya KASEME inayoongozwa na Diwani wa CCM ambaye pia ni katibu wa mbunge wa BUSANDA. Katika mkutano huo makamanda wametoa elimu ya uraia.

Mkutano unaendelea nita waupdate baadae plus ma picha
 
Katika kile kinachoonekana ni harakati ya kukitokomeza CCM jimbo la BUSANDA. BAVICHA-Busanda wamekuwa na program ya kutembea jimbo zima na leo ilikuwa ni zamu ya Kata ya KASEME inayoongozwa na Diwani wa CCM ambaye pia ni katibu wa mbunge wa BUSANDA. Katika mkutano huo makamanda wametoa elimu ya uraia. Mkutano unaendelea nita waupdate baadae plus ma picha
asante sana kamanda tupashane habari na kupeana moyo kila wakati na mimi natafuta simu yenye uwezo wa kutuma habari kila ninapoona jambo zuri kwa CHADEMA
 
Kila la heri Mungu awe nanyi katika kuwaelemisha wananchi wa busanda ili wapate kufunguliwa kifikira na kimaisha
 
Back
Top Bottom