tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,145 Jun 13, 2011 #1 Baada ya kupima ngoma maongezi ya daktari na baunsa yalikuwa hivi. Baunsa: mbona unanishangaa tu badala ya kunipa majibu? Dk. Naogopa utanidunda nikikupa majibu yako.
Baada ya kupima ngoma maongezi ya daktari na baunsa yalikuwa hivi. Baunsa: mbona unanishangaa tu badala ya kunipa majibu? Dk. Naogopa utanidunda nikikupa majibu yako.
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jun 13, 2011 #2 Basi baunsa kashajua majibu yake!
Guma Mlugaluga Member Joined Aug 20, 2008 Posts 98 Reaction score 7 Jun 13, 2011 #3 Jaguar said: Basi baunsa kashajua majibu yake! Click to expand... Keshajua lakini hajaambiwa nini! Hana sababu ya kupigana!
Jaguar said: Basi baunsa kashajua majibu yake! Click to expand... Keshajua lakini hajaambiwa nini! Hana sababu ya kupigana!