mmmmmnh hataki kusikia habari zake wakati wako sector moja kwenye mambo ya kazi je
Anajishaua tu wakati kutwa alikuwa anapost picha za mtunisy instagram , jamaa akam mind akamchana live yeye yupo na mkewe na hana mwanamke mwingine yeyote, sasa ivi na yeye ndo anajifanya eti hataki kumsikia
Batuli ingekuwa vizuri kama angejiweka mbali na medias. Alikuwa anaheshimika sana before, but tangu aanze kuropoka. kwenye udaku, naona heshima yake inashuka tu (in Joti's voice). Muda si mrefu sana aliropoka eti hatokaa ampende mwanaume kama alivyompenda mtunisy, akawa anamuweka na insta. Afu leo kanajishaua tena eti simtaki mtunisy. Mmh ama kweli sizitaki mbichi hizi