Batuli aka Cleopatra
Member
- Sep 16, 2013
- 63
- 56
Batuli aka Cleopatra,Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Karibu Jf Were we dare to talk Freely.....
ila sijakufaham vizuri may be ni ufuatiliaji wangu mdogo wa Bongo Movies
karibu batuli, ila ukubali na uwe tayari kupongezwa na kukosolewa uwapo JF.......karibu sana mwali
Batuli aka Cleopatra,
Karibu sana humu JF..
Humu utapata kujifunza na uwe tayari kukubali kokosolewa na maoni yeyote uyachukulie kama Changamoto kwako ili uzidi kusonga mbele kwenye kazi zako za sanaa..
Hebu tuwekee Picha yako ili tuweze kukufahamu na ikiwezekana majina ya Muvi ulizowahi kuigiza pia ili tukufahamu zaidi, huenda tukawa mashabiki wako huko mbeleni.
Mapendo,
TANMO
Asante Heaven on earth, utanifahamu tu. Nimeshafanya kazi na Marehemu Kanumba: Fake Smile. Nyingine ni: Waves of Sorrow na Ray; The Glory of Ramadhani. Nyingine: Fungate na Clouds. Pia kuna Bad Luck nk.
Bila shaka. Usijali.
Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Karibu Jf Were we dare to talk Freely.....
ila sijakufaham vizuri may be ni ufuatiliaji wangu mdogo wa Bongo Movies
Mshawishi na irene uwoya ajiunge na jf basi
Huku ndio penyewe. Viongozi,wachambuzi,wasomi, mashehe,wachungaji,madaktari,wanafalsafa,bongo movie bongo lala wote wako humu. Bila kumsahau Le Mutuz.
Bila shaka na asante. Baadhi ya kazi zangu nimeshaziweka.
Mshawishi na irene uwoya ajiunge na jf basi
Okay nimekupata sasa na ulivyoweka hiyo Picha yako ndio nimekujua kwa uzuri zaidi......
Keep it UP....
Hebu weka na Picha kabisa mtu wangu ili nikufahamu...
Mimi wasanii wa Bongo Muvi nawajua wachache ambao daily wapo kwenye Magazeti na skendo..
karibu mwaya,huwa nakufagilia maana una mvuto na unajiheshimu