Tuff
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 427
- 974
Sijasema sio gari ya maana.Gari za maana ni kama zipi?
kama ni mfuatiliaji mzuri wa hayo mambo ya racing hapa kwa East Africa bila shaka unajua kuwa JDM sio habari tena watu siku hizo wapo GDM.
N:B: GDM zenyewe ni perfomance specs i.e AMG, M sport, GTI etc sio base models.