Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,652
- 6,707
run way ya mwanza bado ni fupi, jengo ni dogo pia. Mwanza kama kitovu muhimu cha biashara katika kanda ya ziwa ingetakiwa ijengwe international airport yenye hadhi ya jnia na siyo kale kajengo kadogo kama ka air strip. ni lazima tanzania tuwe tayari kufaidika na biashara katika ukanda huuMwanza inachoizidi Kigali ni ukubwa wa mji,ziwa kwa maana ya usafiri wa majini ,buss terminals na sgr.
Kigali inaizidi Mwanza usafi wa mji,miundombinu ya barabara, viwanja vya michezo hapa hata DAR na NRB zikasome, kwa ujumla Kigali ipo juu ya Mwanza kwa mambo mengi.
Lakini pia Mwanza ndani ya miaka 2 au 3 itakuwa vizuri sana pale sgr ikiisha, JPM Bridge, jengo la abiria pale airport na barabara zikipanuliwa.
Kweli.Sema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
kiukweli, kuhalali kabisa, Kigali ni town, wala sio jiji. ila tuwapongeze, ni pasafi sana.Ila Mwanza ni Jiji sidhani kama unaweza kuifananisha na Kigali naona Kama kigali Overrated sana
Usafi Kigali 1-Dar 0kiukweli, kuhalali kabisa, Kigali ni town, wala sio jiji. ila tuwapongeze, ni pasafi sana.
Uwekezaje ww serikali n mdogoSema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
comment hapa hapaSisi ambao hatujafika Kigali tuna comment wapi?
Serikali ya CCM iliisusia mwanza kabisa baada ya JPM kufariki. Wanasahahu kuwa JPM alikuwa wa Chato, Geita siyo wa Mwanza lakini wao wamwamua kuadhibu Mwanza na Geita kwa pamoja. SGR imesimama, Airport imesimama, barabara za mitaani nazo zimesimama, Soko la Mkuyuni limesimama, Kinachoendelea ni Daraja la Magufuli tu, nadhani kwa sababu ya sensitivity yake tu, huenda nalo lingekuwa limesimama sasaSema Mwanza haitendewi haki yake ya kihadhi kama jiji yaani kuna maeneo hata barabara hapa town kabisa za ajabu zimeharibika na viongozi wapo kimya tu... Alafu maendeleo ya miradi iko slow sana jiji la Mwanza sijui tatizo nini tu..
FocusSerikali ya CCM iliisusia mwanza kabisa baada ya JPM kufariki. Wanasahahu kuwa JPM alikuwa wa Chato, Geita siyo wa Mwanza lakini wao wamwamua kuadhibu Mwanza na Geita kwa pamoja. SGR imesimama, Airport imesimama, barabara za mitaani nazo zimesimama, Soko la Mkuyuni limesimama, Kinachoendelea ni Daraja la Magufuli tu, nadhani kwa sababu ya sensitivity yake tu, huenda nalo lingekuwa limesimama sasa
Ni kama DodomaSisi ambao hatujafika Kigali tuna comment wapi?