Hapo sawaHawajui ila ile kubadiri radha tu tosha
Absolutely.chepuko ni opportunist tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition.
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc. Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea. Huwezi kufananisha a family life vitu vya ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Ndo maana nakupenda mdogo wangu. Always on point!Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.
Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Love you too dada akeNdo maana nakupenda mdogo wangu. Always on point!
Umemaliza mama mchungaji nakupenda tu mmMichepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.
Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Hehe nakupenda pia muumini[emoji125] [emoji125] [emoji125]Umemaliza mama mchungaji nakupenda tu mm
Hahhaha unaenda wapi sasa angalia usiangukeHehe nakupenda pia muumini[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naondoka kabla sijamfelisha baba Mchungaji, huduma ikafaHahhaha unaenda wapi sasa angalia usianguke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naondoka kabla sijamfelisha baba Mchungaji, huduma ikafa