Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,652
- 6,707
Lilongwe wanakufa na njaa, tusiwashindanishe na Mbeya wenye shibeKulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
mbona hata hapo daslama watu mnahangaikia msosi ila tupo kimya hatuwasemi.Lilongwe wanakufa na njaa, tusiwashindanishe na Mbeya wenye shibe
🤣daslama wanatumia Supu ya kokoto
Lakini mkuu mngemsaidia mleta mada ili apate taarifa anazozitafuta. Naamini wewe ni mzoefu wa kanda hizo.Kwa kuwa upo ndani ya mipaka yetu unamsikiliza Bujibuji ipo siku utaishindanisha Njombe vs Bulawayo...kwenda Lilongwe kutokea Mpaka wa Songwe ni Tsh 40,000 tu
Mkuu Lilongwe umejengwa kwa Area kuanzia 1 mpaka 40 huko sehemu za Squater nje ya Lilongwe na maeneo yao ya makazi ni eneo kubwa la nyumba mtu anapewa kulinganisha na Mbeya yetu ni utani huo ipo miji imejengeka ila haina jina kwetu kwa sababu hatuna taarifa..Lakini mkuu mngemsaidia mleta mada ili apate taarifa anazozitafuta. Naamini wewe ni mzoefu wa kanda hizo.
Ndo mumwambie ili apate maarifa.Mkuu Lilongwe umejengwa kwa Area kuanzia 1 mpaka 40 huko sehemu za Squater nje ya Lilongwe na maeneo yao ya makazi ni eneo kubwa la nyumba mtu anapewa kulinganisha na Mbeya yetu ni utani huo ipo miji imejengeka ila haina jina kwetu kwa sababu hatuna taarifa..
Kwanza Tanziania Yenyewe huijuiAcha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.
Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi
Kwanza Tanziania Yenyewe huijuiAcha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.
Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi