T Tekenya Member Joined May 24, 2011 Posts 67 Reaction score 9 Aug 22, 2012 #1 Naomba mwenye kujua bei ya battery mpya ya toshiba anijuze, maana laptop yangu inaonyesha alama nyekundu kwenye highlight alafu inasema considery replacing your battery.
Naomba mwenye kujua bei ya battery mpya ya toshiba anijuze, maana laptop yangu inaonyesha alama nyekundu kwenye highlight alafu inasema considery replacing your battery.