Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jul 25, 2011 #1 Habari ya J3 wakuu. Nahitaji Battery ya Lenovo N200 haraka iwezekanavyo. Kama unayo, au kuna mdau unamfahamu anayo tafadhali tuwasiliane. Ukini-PM inakuwa vizuri pia. Asante.
Habari ya J3 wakuu. Nahitaji Battery ya Lenovo N200 haraka iwezekanavyo. Kama unayo, au kuna mdau unamfahamu anayo tafadhali tuwasiliane. Ukini-PM inakuwa vizuri pia. Asante.