Wakuu habari,
Nina Laptop aina ya THTF, Model THTF-Tseries ni Laptop za Kichina bahati mbaya Battery yake iliingia maji haifanyi kazi.
Ni sehemu gani naweza pata Battery hii. Part namba ya Battery ni: 18650-00-01-3S2P-3.
Rating: 10.8Vdc, 4400mAh/47.52Wh
Reachable Lion Battery
Shukrani!