Hisia wapi mkuu kula ngoma hiyonipende kuwaambia mziki ni jambo la hisia usije hapa jf ukataka kila mtu amuelewe huyo batani wako...... japo naipenda ile nyimbo yake ya ta ta ta inafaa kutombea
mbona unazidi kunichanganya we mgosiAu usharudi mbweni mkuu
mshamba huyo usimchekeNi Batanni? Au Bayanni? Am konfyuzdi
anajua sana huyo mtoto wa jazzy
Suala la kutafuta pesa liko palepale mkuu, ila zikipatikana tatizo linabakia kwenye vipaumbele. Kama hela unayopangia kufanya vitu vya maana tu inaishia bar.anajua sana huyo mtoto wa jazzy
tutafute hela kaka twende kwenye mashow yao
Ushamba huu mkuu.. mshamba_mwingine amesema msinichekeMkuu hata jina la msanii nalo linakuchenga🤣
umeandika pumba kbsa ww na chillah wote bangi tu marijuanHuyo mchizi anajua. Nashangaa mondi mpaka leo hamtafuti kutembelea nyota. Umemsikia q-chief kwenye papa God anavyodis watembelea nyota
Kwa wanaopenda mziki mzuriChris brown, Jason derulo na fally ipupa