Bata - Offside Trick

Dah hii sikukuu imenkalia vibaya kwanza ni x mass yangu ya kwanza nikiwa na income yaani niko employed afu mbaya zaidi hadi Jana salary hola! Mh
 
Usijali mkuu, omba uzima kuna next time...

Halafu kumbuka kuwa any day of your life can still be "Christmas "

Si unakumbuka verse ya Biggie kuwa "Birthday was a worst day, but now we sippin' champagne when we thirsty"

"Damn i like the way i live, from negative to positive, and its all good..."

BTW mkuu unaweza kula bata kiana still, if you know what i mean...
 
pole ndo tabu ya kupania sana
bado kuna mwaka mpya.

Ningekuwa mie bosi angenionea shingoni mwake kama tai.

Back
Top Bottom