bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Ninauza bata mzinga katika viwango vifuatavyo. Dume Mkubwa ni Sh.150,000; Jike Mkubwa anayetaga Sh. 100,000 na Wadogo wa umri kati ya miezi 4-5 Sh.50,000. Kwa atakayehitaji anitafute kwa namba hii: 0718424824. Napatikana Dar (Kwa Msuguli). Karibuni sana