Bata mzinga wanauzwa

Bata mzinga wanauzwa

bibilon

Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
21
Reaction score
1
Wanaweek nne niwakubwa na wenye afya
Bei 70000
Wapo Dar es salaam boko msikitini
Kwa mawasiliano +255625588676
IMG-20170929-WA0023.jpg
 
...napata majogoo sio chini ya matatu kwa hela hiyo,
..wana nini cha ziada
 
Unaweza tupia picha ya hilo banda la vifaranga vya bata mzinga?
 
Wanapatikana wap ? Wanaanza kutaga baada ya muda gani tangu kutotolewa?
 
Back
Top Bottom