Bata mzinga wanauzwa

Bata mzinga wanauzwa

handsome2

Senior Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
106
Reaction score
60
Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili.

Serious buyer aje PM. Napatikana tabata kinyerezi karibu na Chuo cha kilimo cha Masanja.

IMG_20160618_145555.jpg

IMG_20160618_145700.jpg
 
mkuu hivi sifa za bata mzinga hadi wauzwe bei hiyo ni nini hasa maana mimi nawaona tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom