AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Wakuu mtupe machimbo ya kula bata kesho mwanza na mikoa mingine mkipenda
MwanzaToa location.... Toa code.... Someka!
Ndo wapi hukoMsata kilingeni vipapatio vya kutosha sana (faida ya mganga)
KilingeniNdo wapi huko
Kuna mashoga kibao pande hizo. Usithubutu kwenda!!!Ndo wapi huko
Kumbe hamna ishu hukoKuna mashoga kibao pande hizo. Usithubutu kwenda!!!
Kiko wapiKilingeni
Lakini we si ni mkubwa Ndugu? Maza karuhusu WAKUBWA kwà wakubwaKumbe hamna ishu huko
Au sio mkuuLakini we si ni mkubwa Ndugu? Maza karuhusu WAKUBWA kwà wakubwa
Sio case....unaweza kwenda tu kilingeni. Kuna babaque ...Au sio mkuu
Nipe machimbo mkuuSio case....unaweza kwenda tu kilingeni. Kuna babaque ...
Hahhaaa! Brother una viojaMsata kilingeni vipapatio vya kutosha sana (faida ya mganga)



Kuna vibeRoyal village Iringa
Kwani we jinsia gani Ndugu?Nipe machimbo mkuu
Wewe unaona jina la jinsia gani hiloKwani we jinsia gani Ndugu?