Bata anazokula Ommy Dimpoz

Kwa waliopo instagram unaweza kuona mbwembwe za Ommy Dimpoz, bata akula haswa sijui ndio kaacha muziki Ana kula mafao sasa. Mara Paris, uki weka bundle kaisha fika Ujerumani. Ukizima simu ukiwasha yupo Sweden huna kaa sawa utamsikia Dubai, kosa ujisahaulishe utamuona nduguyo Marekani sio tour ya music No, ni bata na relaxing flan hivi amazing... Kila la heri Ommy D.
Mleta uzi ubuyu wako umekolea nazi hatari, eti ukizima simu ukiwasha kashahama nchi, nimepapenda hapo sana
Kwa waliopo instagram unaweza kuona mbwembwe za Ommy Dimpoz, bata akula haswa sijui ndio kaacha muziki Ana kula mafao sasa. Mara Paris, uki weka bundle kaisha fika Ujerumani. Ukizima simu ukiwasha yupo Sweden huna kaa sawa utamsikia Dubai, kosa ujisahaulishe utamuona nduguyo Marekani sio tour ya music No, ni bata na relaxing flan hivi amazing... Kila la heri Ommy D.
 
Kwa waliopo instagram unaweza kuona mbwembwe za Ommy Dimpoz, bata akula haswa sijui ndio kaacha muziki Ana kula mafao sasa. Mara Paris, uki weka bundle kaisha fika Ujerumani. Ukizima simu ukiwasha yupo Sweden huna kaa sawa utamsikia Dubai, kosa ujisahaulishe utamuona nduguyo Marekani sio tour ya music No, ni bata na relaxing flan hivi amazing... Kila la heri Ommy D.
Ale na KUKU jaman!!Aache uonevu kwa BATA.
Kwanza BATA wenyewe wachache kuliko KUKU
 
Back
Top Bottom