shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,325
ila jamaa anakula bata... mara yupo ibiza spain..
mara paris, mara berlin..
ana kibaiskeli chake sijui amekikodi ulaya uko.. anapiga nacho round kwenye mitaa ya barcelona.. cha ukweli sana.
kama bongo fleva ndio inalipa hivi hongera zake sana