Kama hujaanza kazi usiulizie ulizie mishahara utakakata tamaa na masomo

Nauliza basic salary ya Nurse mwenye diploma
Ingekuwa ndyo hivyo kozi zote kwenye joining instruction kungekuwa na kiwango cha mishaharaKwhy we unaweza kuanza kaz bila kuulza mshahara. ...naona umetoka kuamka
Hata ungeongezwa mshahara uwe milion 7 kwa mwezi bado ungelalamika mshahara mdogo na ungelilia annual increamentIngekuwa ndyo hivyo kozi zote kwenye joining instruction kungekuwa na kiwango cha mishahara
Soma sana huku ndani ni pasua kichwa salarysleep zina viraka vya kutosha mishahara haijaongezwa mwaka wa pili sasa
Pambana na kozi yako
OkHata ungeongezwa mshahara uwe milion 7 kwa mwezi bado ungelalamika mshahara mdogo na ungelilia annual increament
But lengo langu me ni kujua basic salary tu ya anaeanza kaz
Dogo umeongea point sanaa ebu kulaHata ungeongezwa mshahara uwe milion 7 kwa mwezi bado ungelalamika mshahara mdogo na ungelilia annual increament
But lengo langu me ni kujua basic salary tu ya anaeanza kaz


Unaondoka na 547000/=TGHS B = 680,000
Unaondoka na 547000/=
Bora Hugo mwalimu wa degree anaondoka na 512000+Unaondoka na 547000/=
Bora Hugo mwalimu wa degree anaondoka na 512000+Unaondoka na 547000/=
Mwaka 2015 ilikuwa basic yao 610000 kwa 630000Bora Hugo mwalimu wa degree anaondoka na 512000+