Umemaliza kila kituApplication inaundwa na series of program 's na Program zinaunganishwa kutengeneza Application ambapo sasa mtumiaji ataweza kufanya kazi kulingana na Application ilivyokuwa programmed
Usisahau Application ni sawa na Software
wengine wataongezea
Mifano ya hiyo program ni ipi hasa?Application inaundwa na series of program 's na Program zinaunganishwa kutengeneza Application ambapo sasa mtumiaji ataweza kufanya kazi kulingana na Application ilivyokuwa programmed
Usisahau Application ni sawa na Software
wengine wataongezea
Mkuu mpaka hapo hujaelewa nini mpaka upewe mfano , Program ni maelekezo ambayo computer huweza kuyatambua na kuyafanyia kaziMifano ya hiyo program ni ipi hasa?
Program andishi(Ms word)Mifano ya hiyo program ni ipi hasa?
Thread closed umemalizaProgram ni group of codes zinazokuwa na maelekezo ya nini kompyuta ifanye kama response ya input toka kwa mtumiaji. Computer inaelewa binary yani O's and 1's kupitia logic gates.
Kwa kuwa ilikuwa ni ngumu mtu ku code kwa kutumia binary hivyo ilibidi zitafutwe njia za kutatua tatizo ambapo wanasayansi walikuja na programing languages kama Cobol, Fortran , Java, C++, Python n.k ili kutengeneza uraisi wa kuipa computer instructions.
Kuna kitu kinaitwa compiler, hii ni kama mkalimani ambaye anatafsiri programming language into machine code. Lugha ya kuandikia instructions inapelekwa into binary digits ili computer CPU ijue nn cha kufanya.
Ili program iwe useful lazima itengenezwe layer ya juu yake ambayo inaitwa Graphical User Interface. Hii huwa ndio huwa ina icons, buttons na maelekezo yanayompa mtumiaji wa mwisho urahisi wa kutumia program na ndio level ambayo program huitwa application.
Hapa nimekuelewa mpaka basi case closed! Thank you very much for your great contributionsProgram ni group of codes zinazokuwa na maelekezo ya nini kompyuta ifanye kama response ya input toka kwa mtumiaji. Computer inaelewa binary yani O's and 1's kupitia logic gates.
Kwa kuwa ilikuwa ni ngumu mtu ku code kwa kutumia binary hivyo ilibidi zitafutwe njia za kutatua tatizo ambapo wanasayansi walikuja na programing languages kama Cobol, Fortran , Java, C++, Python n.k ili kutengeneza uraisi wa kuipa computer instructions.
Kuna kitu kinaitwa compiler, hii ni kama mkalimani ambaye anatafsiri programming language into machine code. Lugha ya kuandikia instructions inapelekwa into binary digits ili computer CPU ijue nn cha kufanya.
Ili program iwe useful lazima itengenezwe layer ya juu yake ambayo inaitwa Graphical User Interface. Hii huwa ndio huwa ina icons, buttons na maelekezo yanayompa mtumiaji wa mwisho urahisi wa kutumia program na ndio level ambayo program huitwa application.
Pamoja sana mkuu, any issue about ICT usisite kuniuliza nitakuelekeza katika namna nyepesi sana. Nina knowledge kubwa sana huko mavyeti yako tu kabatini.Hapa nimekuelewa mpaka basi case closed! Thank you very much for your great contributions
Aisee…Program ni group of codes zinazokuwa na maelekezo ya nini kompyuta ifanye kama response ya input toka kwa mtumiaji. Computer inaelewa binary yani O's and 1's kupitia logic gates.
Kwa kuwa ilikuwa ni ngumu mtu ku code kwa kutumia binary hivyo ilibidi zitafutwe njia za kutatua tatizo ambapo wanasayansi walikuja na programing languages kama Cobol, Fortran , Java, C++, Python n.k ili kutengeneza uraisi wa kuipa computer instructions.
Kuna kitu kinaitwa compiler, hii ni kama mkalimani ambaye anatafsiri programming language into machine code. Lugha ya kuandikia instructions inapelekwa into binary digits ili computer CPU ijue nn cha kufanya.
Ili program iwe useful lazima itengenezwe layer ya juu yake ambayo inaitwa Graphical User Interface. Hii huwa ndio huwa ina icons, buttons na maelekezo yanayompa mtumiaji wa mwisho urahisi wa kutumia program na ndio level ambayo program huitwa application.
Nilikuwa napambana na electronics nilitokea kuipenda tu kupitia vitabu, google hata YouTube na kufanya practical nyingi nimefika mahali sasa nawiwa kujifunza networking wapi nianzie kama bigginer ili iwe rahisi ku advance.Pamoja sana mkuu, any issue about ICT usisite kuniuliza nitakuelekeza katika namna nyepesi sana. Nina knowledge kubwa sana huko mavyeti yako tu kabatini.
Mkuu umesoma ICT?Pamoja sana mkuu, any issue about ICT usisite kuniuliza nitakuelekeza katika namna nyepesi sana. Nina knowledge kubwa sana huko mavyeti yako tu kabatini.
Yeah mkuu nina kisomo kidogoMkuu umesoma ICT?
😁😁Mi enyw degree yangu ya kwanza ni ya hayo mamboYeah mkuu nina kisomo kidogo