Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,644
Reaction score
27,617
Habari ndugu zangu wanajamiiforum napenda kuuliza je ni kampuni gani yenye bus zuri kutoka dar kwenda Mbeya na linafika Mbeya muda gani.

Ningependa kujua lodge nzuri pia kwa ajili ya malazi ya usiku mmoja 25000-30000 pawe na utulivu
 
mkuu nina kauzoefu kidogo na mbeya kuhusu usafiri maana naendaga huko mara kwa mara nakupa ushauri wa bure, Panda bus la kampuni ya Imani Plus.

*sifa zao:

--hawakimbii sana
--wanasikiliza wateja wao
--kufika salama ni 99%
--nauli 40k

*kuhusu sehemu za kulala wageni Guest Houses na Hotel sina uzoefu nazo, huwa na fikia kwa mama yangu mdogo Ilomba.

-- Ukirudi Dar urudishe shukrani mkuu nimekupa ABCD's za Mbeya [emoji23][emoji871][emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…