Car4Sale Basi mbili zinauzwa

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,684
3,436
Basi zote ni scania F114 moja ni single hp 330 gear 8 seats 2 by 2 na nyingine ni terials hp 360 gear 8 seats 2by2, zote ziko katika hali nzuri zinatembea..
Mawasiliano;

CALL: +255 765 032 151
Whatsapp: +255 765 032 151

BEI NI MIL, 60 KWA KILA MOJA..

Karibuni..

4442c027130a7b7e4f1d00fe536b4116.jpg
a8e15b623c3bd377be59c11d9b835852.jpg
91888150e2d3db61104db5a7cb1a8163.jpg
bceb22f4222462f4086deb77eb8caf03.jpg
e9d3b35145d0319bfc6edb4c4d574897.jpg
8c71452ef58fde5585f43687f7ee8d19.jpg
 
Nakushauri uweke
bei,hali ya gari,kwa nini wauza,ilhali ni mtambo wa kutengza feza.
Dunia ya leo kufichaficha
Itakugharimu
 
hizi ni nzima kabisa hazina ubovu na route yake ni dar to kahama zinauzwa kwa sababu za kibenki tuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom