Basi luxury za Arusha

Kama uko vizuri kwa hela chukua
Kilimanjaro au Tahmed(haya magar kwa lxury bus ni elf 36 au 38) na hapo hukutani na dalali yoyote.
kama hela ya kawaida waeza chukua (Extra au kidia one au marangu au Hai au lim maana ni mapya na lxury ) hapa udalali upo ila usilipe zaidi ya 25 ni uongeaji wako.
mengine yalobaki naonaga ya kawaida yaani (dar lxury kwa baadh ya magar, bufalo,saibaba,machame,arusha one,.
Ila kama wataka kuwah chukua bufalo au tahmed na saibab zinazoenda nairobi kupitia arusha
 
Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Luxury huipata abebwaye kwa safari yake ya cemetery,

Wanaopanda ndege wana hofu ya kuanguka!

Wanaopanda meli wanauogopa mkondo wa Nungwi!

Wanaopanda mabasi wanahofu ya kuendeshwa na madereva walioutwika au walioamka nazo huku wakitumi barabara sambamba na vichaa, wanaojifunza udereva, madereva wazembe!
Huku mipunda na mibeberu ikihatarisha usalama barabarani kwa kukatisha barabara mbiombio kufukuzia mademu wao!

Nakushauri upande gari ambayo dereva wake ni Yesu au ni utaratibu wao kumpakia Yesu siti No. 1.
 
Kama Dar Ex???
 
Asante sana mkubwa
 
Sa mambo ya yesu yanausikaje hapo jogi . Hiyo ni biashara unapoingiza mambo ya dini unapoteza na kuaribu biashara ya mtu. Watu washndane kwa huduma nzuri siyo mambo ya dini. Je kama mtoa mada ni mwislam anapokeaje ulichoandika? Hivi bakhresa angeweka udini au MEngi angeweka udini wangefika hapo walipo?
 
Ndio jamii tunayoishi nayo sasa
 
Ndio jamii tunayoishi nayo sasa
 
Ondoa hofu mkuu!
Kukiwa na DINI tegemea yafuatayo:-
Madini,
Vidini,
Kadini,
Wadini,
Udini,
Cha dini,
Kwa dini,
Na dini,
Na kadhalika na kadhalika.
Mojawapo ya hayo likitumika uinukuu fasihi andishi!
Usijifungie chumbani ukaidharau fasihi simulizi.

N:B waliotengeza bunduki wanajua kuwa zinaua!
Lakini wao hutegeneza kwa minajili ya kuimarisha ulinzi.

Utailaumu bunduki kimakosa.
 
Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Kuna bus yaitwa saibaba kama huna haraka idake kwani wanagawa mswaki na dawa ya meno bure.na kama kuna MTU wa kukupokea huko mwambie aje kesho SAA NNE asubuhi kukupokea.we anza safari Leo
 
Haya ndio madhara ya kuvuta bange mbichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Tatizo Dar lux mwendo wa kinyonga wanadanganys choo choo chenyewe wanafunga hakitumiki.
Kama unataka kuwahi dar express ya karatu au tahmeed ya nairobi
 
Kuna bus yaitwa saibaba kama huna haraka idake kwani wanagawa mswaki na dawa ya meno bure.na kama kuna MTU wa kukupokea huko mwambie aje kesho SAA NNE asubuhi kukupokea.we anza safari Leo
Hahahaa mkuu hawa Saibaba sijui kwa kweli ni mazingira yapi yatanishawishi nilipande tena. Naogopa kutukana mamba ila hawa jamaa ni janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…