wa tarime tanzania
Member
- Apr 1, 2012
- 62
- 18
umenichekesha sana, engine inapiga kelele utazani iko kwenye mfuko wa shatiangekuwa KE ningeweka mafuta nikampeleka mpaka anakotaka,ME hapana, akapande muro na zuberi,injini inapiga kelele utafikiri iko kwenye mfuko wa shati
Kwa Dar - Dodoma kuna Shabiby ni luxury kisawasawa. Nauli yao ni 40,000. Seat zake ni 1 by 2, lina choo na ni full AC. Pia lina Wifi na sehemu ya kuchajia simu na kila mtu ana TV yake kama kwenye ndege za masafa marefu.Bongo hakuna bus luxury,ni usanii tu.
mkuu usikariri.. LEO lina A.C sema haiwashwi mda wote sehem yenye joto A.C inawashwa sehem ya barid inazimwa..atoke germany koooote huko ashindwe nauli ya fastjet,kwa taarifa yako hakuna basi lenye AC,labda afungue dirisha,huyo rafiki yako ni KE kwa jinsia?
Bi. Dada mkatie ticket tu LEO LUXURYNaomba kuuliza ni basi gani zuri ambalo ni luxury la kutoka Mwanza kwenda Dar na nauli yake ni shilingi ngapi, msaada please.
angekuwa KE ningeweka mafuta nikampeleka mpaka anakotaka,ME hapana, akapande muro na zuberi,injini inapiga kelele utafikiri iko kwenye mfuko wa shati
mabasi yote ya dar mwz ni mazuri Ila si luxury Kama mnavyofikiria
angekuwa KE ningeweka mafuta nikampeleka mpaka anakotaka,ME hapana, akapande muro na zuberi,injini inapiga kelele utafikiri iko kwenye mfuko wa shati