Ivi MO ange nunua basi kama la Azam mbumbumbu fc si wangehisi wako juu ya dunia!! Kagera sugar ndio wakwanza kununua basi ambalo baadae MO amenunua basi Kama hilo na kuwapa Simba yaani Kagera Sugar wanaona gari la kawaida na atujasikia promo, Mbumbumbu fc wame nunua TATA la India kelele mitandaoni hazi ishi, ivi ingekua gari linatokea kampuni Kama Marcopol au Benz n.k ingekuaje!!! Aliyewaita Mbumbumbu hakukosea.