Basi limezidisha abiria, nitoe taarifa wapi?

Basi limezidisha abiria, nitoe taarifa wapi?

pesa yako na bado inakutesa kwan kuna ubaya gan ukishuka ukatafta jingne.
Sa uanze kuandika jf kutafta msaada na bado ukimaliza upige simu polisi au LATRA.
Pesa ikupe shida kuitafta na bado kuitumia ikupe shida ww ni mixx by yas nn.
 
Daaah mkuu hiyo hali iliwahi nikuta..
Nilichokufanya mpaka dereva aliogopa mwenyewe akaanza kuongea na konda wake mi mara nyingi ni mtu wa vitendo tuu
Aaaah braza unatupanga, bila picha au basi hata audio hii ni chai na kibaridi hiki inatufaa sana
 
Back
Top Bottom