Tafuta gari kama hutaki bugdha.Basi limezidisha abiria na konda analeta dharau natakiwa kutoa taarifa wapi na namba zo ni zipi
Sidhani kama ni usnitch linapokuja usalama wa watu.Tafuta gari kama hutaki bugdha.
Au hio ikupe hasira ya kutafuta gari
Otherwise usnich sio tabia nzr
Mkuu,hii ni issue ya usalama,ndio maana Magari hua yana limit ya idadi ya abiria,Tafuta gari kama hutaki bugdha.
Au hio ikupe hasira ya kutafuta gari
Otherwise usnich sio tabia nzr
Nyie wenye akili hizi huwa mnazaliwa na binadamu gani? Unadhani walioweka idadi ya abiria walikuwa wajinga?Tafuta gari kama hutaki bugdha.
Au hio ikupe hasira ya kutafuta gari
Otherwise usnich sio tabia nzr
Piga picha weka hapaBasi limezidisha abiria na konda analeta dharau. Natakiwa kutoa taarifa wapi na namba zao ni zipi?
Faaana wewe naweza sema unatumia asilimia 100 za ubongo wakoPiga picha weka hapa
- Mwenye bus ataona
- Vyombo vya usalama vitaona
- Watawala wataona
- Ndugu wa wasafiri wataona
Fata ushauri wa Faana juu hapoNipige simu wapi
Waambie wakuhamishie seat ya konda ili wakaipigishe busu nyuma ya semiBasi limezidisha abiria na konda analeta dharau. Natakiwa kutoa taarifa wapi na namba zao ni zipi?
Nahitaji tu namba ya kutoa taarifaMkuu,hii ni issue ya usalama,ndio maana Magari hua yana limit ya idadi ya abiria,
Si ajabu ikitokea ajali,hata wewe utaanza kulaumu,
Mleta mada yupo sahihi kabisa,mlinzi wa kwanza wa Nchi ni Mwananchi.