Basi la uhakika Dar - Njombe

Kwa sasa karibia Gari zote za Njombe Dar ziko poa. Kuanzia Luwinzo/Sweet Africa, Nyagawa, Galaxy, Mwalimi, Njombe Express, nk.

Sema tu miaka michache iliyopita kulikua na mjinga mmoja anajiita Happy Africa alikua anazingua sana. Magari yake yalikua mabovu mpaka yalipitiliza.
 
Back
Top Bottom