Basi la Taifa Stars lakamatwa na madalali

Mr President pse fanya kongamano la pamoja na wale walioshindwa katika uchaguzi ili mawazo Yao mazuri yajumuishwe pamoja na yenu ili kuleta maendeleo ya haraka ya soka letu.
 
ahsante LUSOMYA,tukijaliwa symposium itafanyika october,tupo kwenye maandalizi,kikubwa sote tuingie tumiwa na nia njema ya kuleta mae deleo ya mpira wetu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hutashangaa kusikia na chama langu azam tunadaiwa..
 
ahsante LUSOMYA,tukijaliwa symposium itafanyika october,tupo kwenye maandalizi,kikubwa sote tuingie tumiwa na nia njema ya kuleta maendeleo ya mpira wetu.

Mr. President nimependa hapo kwenye nia njema maana binadamu na hasa waTZ hatuna uzalendo wa kupenda mafanikio ya wenzetu. Ni aibu kubwa tunapodhihakiwa na wenzetu kuhusu ufanisi mdogo kwenye michezo. Nakatakia kila la heri,
 
Nimefurai sana president kuja kutoa statement humu anaonekana ni mtu makini sana angekaa kimya fitna zingeanza huko nje.Kwa staili hii tutegemee reform kubwa sana hapo TFF piga kazi mkuu and never lower the tone of TFF
 
Wana janvi naomba kufahamishwa hivi timu ya stendi united itashiriki ligi kuu?
 
[h=1]FAMILIA ZA WAFANYAKAZI TFF ZALIA NA TFF YA MALINZI[/h]

Familia za viongozi wa benchi la ufundi na madereva wa timu ya taifa, Taifa Stars, wamelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kutolipwa fedha zao wanazotakiwa kulipwa kutokana na majukumu yao.

Taarifa kutoka ndani ya benchi la ufundi la Stars zilizofika mezani katika gazeti hili ni kuwa hakuna kiongozi aliyelipwa fedha za posho na malimbikizo mengine tangu timu hiyo ilipoanza ushiriki wa kuwania kufuzu Afcon 2015, mpaka hatua ya kutolewa.

Mhusika mmoja kutoka kwenye benchi hilo amesema kuwa uwezekano wa wao kulipwa haki zao unaonekana kuwa mdogo kwa kuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi hajaonyesha mwelekeo wowote juu yao.

"Wao (TFF) waliwalipa wachezaji tu, lakini benchi la ufundi na madereva wanadai hadi hivi sasa na haijulikani watatulipwa lini. Mwambieni rais anatuua kwa njaa.

"Tumevumilia sana, lakini hivi sasa uvumilivu tunaona umeanza kutushinda, kwa sababu familia zetu hazituelewi," alisema mtoa taarifa huyo akionyesha kuwa na uchungu.

Juhudi za kumpata Malinzi kulizungumzia suala hilo, zilikuwa ngumu kwani pamoja na kupokea simu mara ya kwanza na kuulizwa swali, alisema:
"Naomba unipigie baada ya dakika 20, kuna kazi ninamalizia."

Lakini baada ya hapo, simu yake ilikuwa ikiita bila ya kupokelewa hata kidogo.

Source:FAMILIA ZA WAFANYAKAZI TFF ZALIA NA TFF YA MALINZI - SALEH JEMBE
 
taratibu za malalamiko zinajulikana, hapa naona ni zengwe linaundwa
FAMILIA ZA WAFANYAKAZI TFF ZALIA NA TFF YA MALINZI

Jamal Malinzi;
thanks

Umepanic Jamali Malinzi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom