Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,949 Jun 26, 2017 #21 Tupicha hakuna mkuu
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Jun 26, 2017 #22 Kama ajali itakuwa inawahusu dereva na konda basi usafiri wa basi hilo ni salama kabisa kwa abiria
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,902 Jun 26, 2017 #23 CHIKIRA MTABARI said: Ni bahati mbaya tu! Pia na siku zao za kuishi zilikuwa zimefika mwisho Click to expand... Umenena vema mkuu Chikira na uzuri kwa hii ya Jana kuna ushahidi kabisa dereva alikua anachezea cm wakati wa ajali inatokea
CHIKIRA MTABARI said: Ni bahati mbaya tu! Pia na siku zao za kuishi zilikuwa zimefika mwisho Click to expand... Umenena vema mkuu Chikira na uzuri kwa hii ya Jana kuna ushahidi kabisa dereva alikua anachezea cm wakati wa ajali inatokea
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Jun 26, 2017 #24 Mitha said: Enzi tukiwa pale NJOSS story zilikua ndo hizo Click to expand... Kwenye zile bus zilizokuwa zinaenda Mbeya na Iringa nyuma kulikuwa na picha za Pinguin
Mitha said: Enzi tukiwa pale NJOSS story zilikua ndo hizo Click to expand... Kwenye zile bus zilizokuwa zinaenda Mbeya na Iringa nyuma kulikuwa na picha za Pinguin
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,808 Jun 26, 2017 #25 Babati said: Hiyo kampuni nani mmiliki wake? Click to expand... Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga
Babati said: Hiyo kampuni nani mmiliki wake? Click to expand... Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga
igwee frm anambra JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 956 Reaction score 1,502 Jun 26, 2017 #26 Babati said: Hiyo kampuni nani mmiliki wake? Click to expand... Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed.
Babati said: Hiyo kampuni nani mmiliki wake? Click to expand... Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jun 26, 2017 #27 kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Kama ni hao jamaa ni sawa mambo yanayotokea.
kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Kama ni hao jamaa ni sawa mambo yanayotokea.
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Jun 26, 2017 #28 kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Nasikia wa wakinga ni washirikina sanaaa
kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Nasikia wa wakinga ni washirikina sanaaa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jun 26, 2017 #29 igwee frm anambra said: Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed. Click to expand... Hao jamaa ndiyo mambo yao hayo.
igwee frm anambra said: Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed. Click to expand... Hao jamaa ndiyo mambo yao hayo.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jun 26, 2017 #30 M CM said: Nasikia wa wakinga ni washirikina sanaaa Click to expand... Wako vizuri sana eneo hilo.
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,671 Jun 26, 2017 #31 Mkuu Mshana Jr njoo utufungue macho hapa
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,478 Reaction score 24,250 Jun 26, 2017 #32 Mkuu anzisha mgomo wa kupanda mabasi, sio mbaya unaweza kutembea na miguu..
Mitha JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 706 Reaction score 1,023 Jun 26, 2017 #33 Prince Kunta said: Kwenye zile bus zilizokuwa zinaenda Mbeya na Iringa nyuma kulikuwa na picha za Pinguin Click to expand... Unanikumbusha mbali sana mkuu ila mwisho wa mwezi naenda Mbeya , nikiyaona nitayapiga picha mkuu .nitakutumia
Prince Kunta said: Kwenye zile bus zilizokuwa zinaenda Mbeya na Iringa nyuma kulikuwa na picha za Pinguin Click to expand... Unanikumbusha mbali sana mkuu ila mwisho wa mwezi naenda Mbeya , nikiyaona nitayapiga picha mkuu .nitakutumia
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,945 Jun 26, 2017 #34 Super feo ana bus 12 mpya hazijaanza kazi huwezi jua
assenga Jr JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 370 Reaction score 461 Jun 26, 2017 #35 Lina maanisha ajali haina. kinga
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Jun 26, 2017 #36 kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Mmmmmh.mleta mada ana haki ya kuuliza.wakinga nyokooo.
kelao said: Mmiliki wake anaitwa Omary Msigwa. Ni Mkinga Click to expand... Mmmmmh.mleta mada ana haki ya kuuliza.wakinga nyokooo.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Jun 26, 2017 #37 igwee frm anambra said: Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed. Click to expand... Wakinga hawafai.
igwee frm anambra said: Mkinga fulani. .......Msigwa from Makete. Case closed. Click to expand... Wakinga hawafai.
assenga Jr JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 370 Reaction score 461 Jun 26, 2017 #38 Babati said: Hiyo kampuni nani mmiliki wake? Click to expand... Mm hapa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jun 26, 2017 #39 assenga Jr said: Mm hapa Click to expand... Kinyesi chako
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Jun 26, 2017 #40 ni usafiri niliokuwa nauamini sana kila niendapo songea kutoka dar....huwa wana mwendo mzuri sana barabarani. nadhan ni bahati mbaya tu
ni usafiri niliokuwa nauamini sana kila niendapo songea kutoka dar....huwa wana mwendo mzuri sana barabarani. nadhan ni bahati mbaya tu