Basi la RATCO lapata ajali

Basi la RATCO lapata ajali

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
34,637
Reaction score
37,959
Basi la kampuni ya RATCO, limetumbukia mtaroni maeneo ya kongowe ya Kibaha muda mfupi uliopita, lilikuwa linatoka Tanga kwenda Dar. Kwa kuwa nilipita hapo nikiwa ndani ya basi jingine, sina taarifa ya majeruhi wala vifo kama vipo.

Picha za ajali

IMG-20140427-WA0010.jpg

Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa bila kusahau kipimajoto mkononi...
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka ubavu baada ya kuacha njia.
 
Aliye eneo la tukio atupie picha na habari
 
Inasemekana mtu mmoja ndio amejeruhiwa. Basi limelalia ubavu wa kushoto.
 
true nimeongea na mfanyakazi wa ratco kathibitisha kwamba conductor ndiye yuko hali mbaya sana. chanzo ni kwamba gari ndogo lilichomoka tyre ratco ikalikanyaga au likaingia uvunguni na ajali ikatokea. poleni waathirika wa tukio hili.
 
Ahsante sana kwa taarifa.

Ni jambo la kushukuru kwamba watu wametoka salama!
 
mie liliniacha segera kwani nikataka kulikimbiza jamaa akanishauri nisubiri magari private ratco 3.jpg ratco 3.jpg
 
Basi la kampuni ya RATCO, limetumbukia mtaroni maeneo ya kongowe ya Kibaha muda mfupi uliopita, lilikuwa linatoka Tanga kwenda Dar. Kwa kuwa nilipita hapo nikiwa ndani ya basi jingine, sina taarifa ya majeruhi wala vifo kama vipo...

Any new developments please!
 
IMG-20140427-WA0010.jpg

Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa bila kusahau kipimajoto mkononi...
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka ubavu baada ya kuacha njia.
 
Basi la kampuni ya RATCO, limetumbukia mtaroni maeneo ya kongowe ya Kibaha muda mfupi uliopita, lilikuwa linatoka Tanga kwenda Dar. Kwa kuwa nilipita hapo nikiwa ndani ya basi jingine, sina taarifa ya majeruhi wala vifo kama vipo.

Picha za ajali

Mkuu hapo sijakuelewa,wanaotoka nje ni wananchi au abiria?
 
pole sana wasafiri pamoja na mmiliki wa kampuni, hizo ni changamoto za barabarani jambo la msingi kiangaliwe chanzo cha ajali ili kwa kipindi kijacho hali kama hiyo isitokee tena . NASEMA TENA POLENI SANA
:evil:
 
habari ya mwezi wa nne hii mnakuwa kama mazuzu
 
Back
Top Bottom