Basi la new force one lakamatwa madereva wote wananuka viroba!!

Basi la new force one lakamatwa madereva wote wananuka viroba!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,085
Reaction score
38,460
Tupo mlandizi gari la newforce one kutokea tunduma limekamatwa hapa mlandizikituo cha polisi. Madereva wote yaani na wa akiba wananuka viroba na mmoja wamemsachi ana viroba vinne na condom tatu.Gari lilitaka kumgonga mkuu wa wilaya akapiga police mlandizi likamatwe na baada ya kukamatwa dreva anaulizwa kwa nini umelewa sijalewa na kwanini unakunywa ukiendesha gari eti wazambia hapo siti jiran ndio wamenipa na si mimi hata msaidizi wangu. Alipofatwa konda tunaomba msaidizi wa dreva kagoma mwisho akakubali kumwonyesha. Jamani huzuni mzee wamakamo naye hoi. Mkuu wa kituo kapiga kwa bosi walete dreva mwingine watu wanalia kwenye basi na ameweka ndani wale pax watatu waliokuwa wakimpa konyagi dreva
 
Ajali zisiokwisha husababishwa na madereva walevi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna umuhmu wa kusachi hawa wauwaji kila mara na si hawa tu hata magari mengne same upuz wanafanya minilijua wanaweka mayai tu kama jirani wangu dreva wa mtwara exp he na viroba tena

loh
 
Ukiuliza abiria hapo watakwambia bora waondoke na Dereva mlevi kuliko huyo wa kumsubiri toka dar
 
kondakta wa kichina hakuwepo?maana huwa yupo kila bus lao
 
Polisi watangaze ajira za watu kazi yao ni kusafiri na mabus kila siku. Hawa madereva hawasikii hawaambiliki. Wanazidi kuua

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kuna umuhmu wa kusachi hawa wauwaji kila mara na si hawa tu hata magari mengne same upuz wanafanya minilijua wanaweka mayai tu kama jirani wangu dreva wa mtwara exp he na viroba tena

loh

kidogo sasa unajitahidi kuandika, na hata kuumba herufi
 
Hii vita ya kibiashara waliowapa viroba walisetiwa makusudiii na umelo wa watz wakafakamia viroba kama ashkirimu
 
Kuna umuhmu wa kusachi hawa wauwaji kila mara na si hawa tu hata magari mengne same upuz wanafanya minilijua wanaweka mayai tu kama jirani wangu dreva wa mtwara exp he na viroba tena

loh

huyo jamaaa white namfaham anaitwa mudy kama sikosei
 
Je abiria waliokuwamo hawakuona dereva akifakamia viroba. Kama si mkuu wa wilaya si wangekua mochari saa hizi wanapoa. Tuwalaumu madereva na abiria vilevile. simu za polisi ziko nje nje watu wanasubiri mpate waangikwe Muhimbili ndio waseme gari ilikua mwendo kasi.
 
Ukiuliza abiria hapo watakwambia bora waondoke na Dereva mlevi kuliko huyo wa kumsubiri toka dar

Then wakifika Kongowe wakapata ajali, wanaanza kuwalaumu police ati wamekula rushwa,
 
Tupo mlandizi gari la
newforce one kutokea tunduma limekamatwa hapa mlandizikituo cha polisi.
Madereva wote yaani na wa akiba wananuka viroba na mmoja wamemsachi ana
viroba vinne na condom tatu.Gari lilitaka kumgonga mkuu wa wilaya
akapiga police mlandizi likamatwe na baada ya kukamatwa dreva anaulizwa
kwa nini umelewa sijalewa na kwanini unakunywa ukiendesha gari eti
wazambia hapo siti jiran ndio wamenipa na si mimi hata msaidizi wangu.
Alipofatwa konda tunaomba msaidizi wa dreva kagoma mwisho akakubali
kumwonyesha. Jamani huzuni mzee wamakamo naye hoi. Mkuu wa kituo kapiga
kwa bosi walete dreva mwingine watu wanalia kwenye basi na ameweka ndani
wale pax watatu waliokuwa wakimpa konyagi dreva
mmh kwa mtindo huu ajali hazitaisha wengine wanaweka viroba kwenye chupa za maji ili waonekane wanakunywa maji
 
Back
Top Bottom