y-n JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,391 Reaction score 2,514 Feb 8, 2014 #21 Makamee said: Shemeji kumbe dada yako hajatulia au alikua alikua anafanya biashara ya supu ya kitimoto. Click to expand... Haswaaaaaaaa.....
Makamee said: Shemeji kumbe dada yako hajatulia au alikua alikua anafanya biashara ya supu ya kitimoto. Click to expand... Haswaaaaaaaa.....
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,740 Feb 8, 2014 #22 Makamee said: Wakazi wa Babati na Magugu wawe makini na nyama zitakazouzwa mabuchani leo na Kesho. Click to expand... Wawe makin I?!!!" Kwanini???!"! Si bora hiyo nyama kuliko samaki wasiochinjwa???!
Makamee said: Wakazi wa Babati na Magugu wawe makini na nyama zitakazouzwa mabuchani leo na Kesho. Click to expand... Wawe makin I?!!!" Kwanini???!"! Si bora hiyo nyama kuliko samaki wasiochinjwa???!
y-n JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,391 Reaction score 2,514 Feb 8, 2014 #23 Gama said: Wawe makin I?!!!" Kwanini???!"! Si bora hiyo nyama kuliko samaki wasiochinjwa???! Click to expand... Hivi kumbe samaki hawachinjwi? #Makamee Kumbe shemeji wala kibudu! Au jamaa anatudanganya? Mbona dagaa wanachinjwaga!
Gama said: Wawe makin I?!!!" Kwanini???!"! Si bora hiyo nyama kuliko samaki wasiochinjwa???! Click to expand... Hivi kumbe samaki hawachinjwi? #Makamee Kumbe shemeji wala kibudu! Au jamaa anatudanganya? Mbona dagaa wanachinjwaga!
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,000 Feb 8, 2014 #24 Hvi mtei hajamalizaga kutoaga makafara yake jaman!?
A atandiza mandawa Member Joined Feb 6, 2014 Posts 44 Reaction score 4 Feb 8, 2014 #25 Ha ha ha ha Swahilini bhana. Xa tunong'onezane i
M mwanafyale JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,641 Reaction score 539 Feb 9, 2014 #26 Makamee said: Hatufanani uelewa,mimi nimeona basi likigonga ng'ombe. Click to expand... Liliwafuata porini au ng'ombe walikuwa barabarani? Sheria ya nchi hii hairuhusu ng'ombe kuchunga, au kupitishwa barabarani wakitembea
Makamee said: Hatufanani uelewa,mimi nimeona basi likigonga ng'ombe. Click to expand... Liliwafuata porini au ng'ombe walikuwa barabarani? Sheria ya nchi hii hairuhusu ng'ombe kuchunga, au kupitishwa barabarani wakitembea
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 637 Feb 9, 2014 #27 ishu ni kuchunga ng'ombe kando kando ya Barbara ,wanakera sana Jana kidogo nigonge ng'ombe Barbara hiyohiyo
ishu ni kuchunga ng'ombe kando kando ya Barbara ,wanakera sana Jana kidogo nigonge ng'ombe Barbara hiyohiyo
G gira Member Joined Feb 4, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Feb 9, 2014 #28 Kama hapakua na kivuko cha wanyama inabidi mwenue ng'ombe hao ashtakiwe