Sawa! Hiyo lami ya Babati - Singida inapafanya pawe eneo HATARISHI KWA USALAMA BARABANI, mara NOAH mara Mtei vs Pikipiki, Mtei vs Ng'ombe .... Polisi na Nyara za Taifa ????
Aaa shemeji kama dereva alikua muislam na kabla ya kuwagonga alisoma ile dua ya kuchinjia Haina shida shemeji yangu.
Hiyo ni kitu halali naenda kula na dada yako shemeji.

Nendeni mkale tu shemeji.
Dereva alikuwa Victor-Mkristo.
Alisema tu ku-m@m@e then akatembeza tairi!
Jana dada kaja na mdudu,nasikia ulimpenda sana mdudu!