Hatufanani uelewa,mimi nimeona basi likigonga ng'ombe.
Limegonga kundi la ng'ombe na kuua ng'ombe 9 papo hapo nje kidogo ya mji wa Babati mkoani manyara.
Basi lilikua linatoka Singida kwenda Arusha.
Basi halikuanguka abiria wote wametoka salama.
Wakazi wa Babati na Magugu wawe makini na nyama zitakazouzwa mabuchani leo na Kesho.
Kwani wewe shemeji unakula Vibudu?
Shemeji kwani nyie unadhani hamli vibudu?
Mnadanganyika kirahisi wasilaam.
Zitagombaniwa hizo nyama hadi utashangaa shemeji.!
Aaa shemeji kama dereva alikua muislam na kabla ya kuwagonga alisoma ile dua ya kuchinjia Haina shida shemeji yangu.
Hiyo ni kitu halali naenda kula na dada yako shemeji.
kutakuwa na mkono wa mtu hapo, siyo bure hata kidogo!!!!!!!!!!!!!
Nendeni mkale tu shemeji.
Dereva alikuwa Victor-Mkristo.
Alisema tu ku-m@m@e then akatembeza tairi!
Jana dada kaja na mdudu,nasikia ulimpenda sana mdudu!
Haa haaa shemeji acha hizo,au unataka ninyang'anywe uimamu msikiti wa mtaa shemeji?