mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Basi la kampuni ya KISBO SAFARI,lenye namba T534 CHX,lilokuwa likitoka Dar kwenda Mwanza,limepinduka vibaya kufuatia tairi la mbele kupasuka likiwa kwenye mwendo kasi,na kuua watu wawili papo hapo na wengine zaidi ya hamsini kujeruhiwa vibaya.
Ajali hiyo imetokea nje kidogo ya mji wa Ikungi mkoani Singida mida ya saa kumi na moja na nusu jioni ya leo.
Nimechelewa kupost maana simu yangu haina chaji na picha nashindwa kuziweka.
Chanzo ni mimi mwenyewe natoka Bukoba naenda Moro.