Basi la kijiji

Basi la kijiji

Joined
Dec 20, 2012
Posts
70
Reaction score
31
maisha bora.JPG

Ndo hili moja tunalitegemea litufikishe mjini, likipita ndo basiiii tena!!!!!!! Mpaka keshooooo.
 
Mbona abiria wamevalia kijani na njano zaidi? Au ni ...
 
Mbona abiria wamevalia kijani na njano zaidi? Au ni ...

Nina wasi wasi hilo tractor linawapeleka watu kwenye mkutano wa Magamba!!! Njano zimekuwa nyingi.

Tiba
 
Back
Top Bottom