Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Ndio maana amejitahidi kwa kila alipoweza kufikisha taarifa alizozipata yeye, kama kuna mwingine mwenye taaarifa zaidi atatujuza, sidhani kama kuna tatizo lolote kwa alivyofanya mleta taarifaukija jf njoo na hbr iliyokamilika. Waliokufa,majeruh na athar zilizopatkana. Hufai kuwa mwana habar
ukija jf njoo na hbr iliyokamilika. Waliokufa,majeruh na athar zilizopatkana. Hufai kuwa mwana habar
Ndio maana amejitahidi kwa kila alipoweza kufikisha taarifa alizozipata yeye, kama kuna mwingine mwenye taaarifa zaidi atatujuza, sidhani kama kuna tatizo lolote kwa alivyofanya mleta taarifa
ukija jf njoo na hbr iliyokamilika. Waliokufa,majeruh na athar zilizopatkana. Hufai kuwa mwana habar
ukija jf njoo na hbr iliyokamilika. Waliokufa,majeruh na athar zilizopatkana. Hufai kuwa mwana habar
Nilishawai wai kuzungumzia hili bus hapa jf na nikasema no magari ya ovyo sana tairi azina
Basi la Kampuni ya Princess Muro, limepata ajali jioni hii Jumatano Mei 7, 2014 katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro likitokea Mkoa wa Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kwa kuacha njia na kupinduka.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, yeyote ambaye amefanikiwa kufika katika eneo hilo au kuwa na taarifa zaidi tunaomba atuambie.
Hizi taarifa zinakanganya nimeona taarifa kwenye blog moja inasema basi lilitokea Njombe kwenda Dar na picha ni tofauti baina ya hii na ya blog
Nadhani kwa uzoefu wako ulipaswa kushukuru kwamba basi lilikuwa linakwenda mwendo wa taratibu na hivyo ama kupunguza uwezekano wa ajari au kupunguza ukubwa wa madhara endapo ajari ingetokea.Haya mabasi sinto kaa nipande tenaa ....Mwaka jana Chrismass nilitoka Dar saa 12 asubuhi nikafika Arusha saa 4 usiku...

picha zipo sawa mkuu, ya mwanzo imepigwa kwa ubavuni na hii yako imepigwa kwa mbele!!