johnlowasa
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 121
- 76
Poleni wapendwaBasi hilo linalofanya safar zake Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya chalinze kwa kugonga gari ndogo kwa nyuma ambapo gari ndogo haipo pichani ilisimamishwa na trafiki ndipo basi likamgonga kwa nyuma abiria baadhi wamepata michubuko na hakuna aliyepoteza maisha abiria wanasuburi basi lingine ili waweze endelea na safari
Hiyo kazi ya BIMA wala boss hana wasiwasi wowote.bosi leo tumbo joto...
ata kama kazi ya bima lakin joto lazima ulipate tu...Hiyo kazi ya BIMA wala boss hana wasiwasi wowote.
Aisee lina USB Charging.....nalipendaga sana
Kumbeeeeer[emoji23] [emoji15]Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
Saizi mi wakinisimamisha sehemu za hovyohovyo sisimamiChanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
sasa hivi wanaangalia jinsi gani ya ku-maintain rekodi ya mapato kuliko usalama wa watu.Rekodi za ajali na vifo viko juu kuliko walipoanza huu utaratibu wa fainiHawa matrafiki sometimes hovyo sana wanasimamishaga magari hata sehemu hatarishi...yaani hadi mtu wa kawaida unawashangaa..sijui hawapewi kozi