RIP marehemu wote,poleni wafiwa na tumuombe Mungu awape awape nafuu majeruhi.Mkuu mbunge ni nani huko?
Mbunge wa Ulanga Mashariki ni Celina Kombani, Magharibi eneo ajali ilipotokea ni Ndg Mponda aliyekuwa Waziri wa afya na aliyemrithi Ngasongwa aliyetawala zaidi ya miongo miwili bila hata chembe ya maendeleo kwa watu wa Kivukoni,Minepa,Lupiro,Iragua,Itete,Mtimbira,Sofi,Ihowanja,Biro na Malinyi,Mkuu huku hakuna umeme,barabara ni janga,maisha kwa ufupi ni kama tuko kabla ya uhuru!
Poleni sana,mnatoa mawaziri wengi lakini maendeleo hakuna.Vipi samaki wanapatikana kwa wingi mto Kilombero?
Mkuu Sangomwile samaki wamejaa tele wa aina ya kambare,kitoga,perege,njege,njuju,ndungu,ngogo,mbala n.k!Japo wanufaikao wengi ni wafanyabiashara haramu ambao wanalangua na kuwasafirisha sehemu mbalimbali kama kitoweo!!Karibu pilau la kambale hapa!
haaa kumbe kuna wandamba wenzangu humu mwabambo awijee . Barabara za kule nyumba ni kama unaenda jehanamu. Tupia majina mlongo kilivite. polenimajerui ..r.i.p
nikayimuka mani wenga na walongo wako.wajambushi kaya kwakoAwije bambo,ukayumuka?abasha ya ukaya?
Mbunge wa Ulanga Mashariki ni Celina Kombani, Magharibi eneo ajali ilipotokea ni Ndg Mponda aliyekuwa Waziri wa afya na aliyemrithi Ngasongwa aliyetawala zaidi ya miongo miwili bila hata chembe ya maendeleo kwa watu wa Kivukoni,Minepa,Lupiro,Iragua,Itete,Mtimbira,Sofi,Ihowanja,Biro na Malinyi,Mkuu huku hakuna umeme,barabara ni janga,maisha kwa ufupi ni kama tuko kabla ya uhuru!
RIP marehemu wote,poleni wafiwa na tumuombe Mungu awape awape nafuu majeruhi.Mkuu mbunge ni nani huko?
Haji Mponda ndio mbunge na amechaguliwa tena