Huyu jamaa hii mara ya pili kuleta habari zisizokamilika,majuzi alileta habari ya ajali ya bus la New Force hivyo hivyo akiwa mbio mbio anaonekana kama siyo dereva wa bus basi ni dereva wa lorry anaandika haraka haraka huku akiendesha.
Mleta mada na wewe angalia usije ukaangusha chuma park pembeni post kitu kinachoeleweka kisha endelea na safari yako.