kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera
kwa nchi za wenzetu insurence ndio inabeba kila kitu,ila sasa kwa bongo kutokuelewa haki zetu wakuu wanatumia mwanya huo kubunya hata pesa za kufidia mizigoje ni kwa vip wanaweza wakafidiwa MIZIGO YAO
Tunataka Wizara ya Mambo ya Ndani itupe updates za idadi ya vifo na majeruhi wa ajali za barabarani kila mwisho wa wiki.