Basi la Dar Express laungua moto

kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera
 
Hata Scandnavia nao walianza hivi hivi!!! Hii kampuni inakufa sasa! Ina magari machovu kupindukia. Siku moja nimepanda arusha-dar. Basi lilitoka karatu likiwa bovu kweli kweli!
Acha majungu....hakuna kampuni ya mabasi ya kuifikia Dar Express.
 
Wadau naskia gari la darexpress leo,limewaka moto maeneo ya segeramwenye up dates zaidi tafadhali
 
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
inawezekana pia kuwa hicho kigogo kiliwekwa baada ya Moto kuanza, yaani baada ya basi kusimama na kigogo kikawekwa kusaidia break huku abiria wakitafuta pakutokea, ni LABDA LAKINI
 
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote

je watafidiwa MIZIGO YAO?
 
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
je ni kwa vip wanaweza wakafidiwa MIZIGO YAO
 
kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera

akatangazie wapi????maana hata nilipoathiriwa na mafuriko HOME SHOPPING CENTeR WALIJITANGAZA SANA,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…