Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii
0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first
Mkuu kwa jinsi hili basi linavyoungua, naona hakukuwa hata na fire extinguisher hapo. balaa! Nakumbuka miaka kama 7 iliyopita basi la Champion la Dar-Dom lilianza kuwaka moto maeneo ya Kingolwira cha ajabu hakukuwa na kitu chochote cha kuzimia moto, bahati nzuri lori la jeshi lilikuwa linapita ndio likasaidia kuuzima huo moto.Lakini bila ya hivyo basi lingeteketea kama hilo la Dar Express ktk picha!Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii
0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
daah! cuf naona MMuungu amewanusuru?
Juzi basi la adventure kutoka Mwanza kwenda Kigoma limeungua leo tena Dar Express limeungua wiki hii kunani?