SUMATRA tunaomba ushirikiano wenu, nauli ya Kasulu na Kigoma ni tofauti! Lakini sisi wasafiri tunaosafiri Dar-Kasulu basi hulazimishwa kulipa nauli ya Kigoma. Mbaya zaidi hata ukitoa nauli ya Kigoma wakati unashuka Kasulu hata tikei hulazimisha iandikwe Kigoma wakati mwisho wa safari yako ni Kasulu.
Hili ni jambo la hatari sana wanasema wao wanafuata maelekezo ya bosi wao anaitwa Ahmad na kama hataki mrudishie pesa yake!! "Alitamka binti mmoja aliyeonekana kama bosi mwenye weupe wa mkorogo" Je huu ni uungwana!! Ukiwaambia hiyo tiketi inahitajika ofisini na ofisi inajua mwisho wa safari ni Kasulu hawakuelewi.
TUNAOMBA SUMATRA WAINGILIE KATI NA BARABARA KGM-DAR IKIKAMILIKA HAKIKA MTAKIONA